Unataka mwanamke akufikirie kila siku na akumiss hata akiwa na mambo mengi ya kufanya? Hili si jambo la kubahatisha ni sayansi na sanaa. Ukiweza kuelewa akili ya mwanamke, utajua jinsi ya kumfanya akuzingatie bila kumlazimisha. Hapa kuna mbinu za kisayansi na za kisaikolojia zitakazomfanya akuwaze